1 Mambo ya Nyakati 21:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Na Daudi akaja mpaka kwa Ornani. Ornani alipotazama na kumwona Daudi,+ akatoka haraka nje ya uwanja wa kupuria, akamwinamia Daudi kifudifudi.
21 Na Daudi akaja mpaka kwa Ornani. Ornani alipotazama na kumwona Daudi,+ akatoka haraka nje ya uwanja wa kupuria, akamwinamia Daudi kifudifudi.