-
2 Samweli 19:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 kwa kuwapenda wale wanaokuchukia na kuwachukia wale wanaokupenda; kwa maana leo umejulisha kwamba wakuu na watumishi si kitu kwako, kwa sababu mimi najua vema leo kwamba kama Absalomu angelikuwa hai na sisi sote wengine tungelikuwa wafu leo, basi hiyo ingelikuwa ni sawa machoni pako.
-