Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 19
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

2 Samweli 19:1

Marejeo

  • +2Sa 18:5, 14

2 Samweli 19:3

Marejeo

  • +2Sa 17:24; 19:32

2 Samweli 19:4

Marejeo

  • +2Sa 18:33

2 Samweli 19:5

Marejeo

  • +Zb 18:48
  • +2Sa 3:3; 5:14
  • +2Sa 13:1
  • +2Sa 5:13
  • +2Sa 15:16

2 Samweli 19:7

Marejeo

  • +Isa 40:2
  • +Met 14:28

2 Samweli 19:8

Marejeo

  • +2Sa 18:4, 24; 1Fa 22:10; Yer 38:7
  • +2Sa 18:17; 1Fa 22:36

2 Samweli 19:9

Marejeo

  • +1Sa 17:50; 18:7; 19:5; 2Sa 5:25; 8:5
  • +2Sa 15:14

2 Samweli 19:10

Marejeo

  • +2Sa 15:10, 12
  • +2Sa 18:14
  • +2Sa 3:17

2 Samweli 19:11

Marejeo

  • +2Sa 8:17; 15:25; 1Fa 1:8
  • +1Sa 22:20; 30:7; 2Sa 15:24; 1Nya 15:11
  • +2Sa 2:4

2 Samweli 19:12

Marejeo

  • +Amu 9:2; 2Sa 5:1

2 Samweli 19:13

Marejeo

  • +2Sa 17:25; 1Nya 2:17
  • +Ru 1:17; 1Sa 3:17
  • +2Sa 8:16; 18:5, 14

2 Samweli 19:14

Marejeo

  • +Amu 20:1

2 Samweli 19:15

Marejeo

  • +Yos 5:9; 1Sa 11:14

2 Samweli 19:16

Marejeo

  • +2Sa 16:5; 1Fa 2:36, 44
  • +1Fa 2:8
  • +2Sa 3:16; 17:18

2 Samweli 19:17

Marejeo

  • +2Sa 9:2; 16:1
  • +2Sa 9:10

2 Samweli 19:18

Marejeo

  • +2Sa 15:28
  • +Zb 66:3; 81:15; Mhu 10:4

2 Samweli 19:19

Marejeo

  • +1Sa 26:21; 2Sa 16:5
  • +2Sa 13:20, 33

2 Samweli 19:20

Marejeo

  • +2Sa 19:43; 1Nya 5:2

2 Samweli 19:21

Marejeo

  • +2Sa 23:18
  • +2Sa 2:18
  • +Kut 22:28; 2Sa 16:7; 1Fa 21:13; Zb 105:15; Mhu 10:20; Mdo 23:5; 2Pe 2:10

2 Samweli 19:22

Marejeo

  • +2Sa 3:39; 16:10
  • +1Sa 29:4; 1Fa 5:4; Mt 16:23; Yak 1:20
  • +1Sa 11:13

2 Samweli 19:23

Marejeo

  • +1Fa 2:8, 37, 46; Ebr 6:16

2 Samweli 19:24

Marejeo

  • +2Sa 9:6; 16:4
  • +2Sa 9:3
  • +Ezr 9:3

2 Samweli 19:26

Marejeo

  • +2Sa 9:9
  • +2Sa 4:4

2 Samweli 19:27

Marejeo

  • +Law 19:16; 2Sa 16:3; Zb 101:5; Met 6:19; 21:6
  • +1Sa 29:9; 2Sa 14:17

2 Samweli 19:28

Marejeo

  • +2Sa 9:1, 7, 10, 13
  • +2Sa 9:8

2 Samweli 19:29

Marejeo

  • +2Sa 16:4; Met 18:17; 29:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    8/2018, uku. 6

    The Watchtower,

    5/15/2005, uku. 18

  • Fahirishi ya Machapisho

    w05 5/15 18

2 Samweli 19:30

Marejeo

  • +Mt 5:40; 1Ko 6:7

2 Samweli 19:31

Marejeo

  • +2Sa 17:27; 1Fa 2:7

2 Samweli 19:32

Marejeo

  • +Zb 90:10
  • +2Sa 17:28; Met 3:27; Ebr 13:16
  • +1Sa 25:2; Ayu 1:3

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    9/2018, uku. 9

2 Samweli 19:33

Marejeo

  • +2Sa 9:10; Met 11:25; Mt 7:12; Lu 6:38

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2007, uku. 14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w07 7/15 14

2 Samweli 19:34

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2007, uku. 14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w07 7/15 14

2 Samweli 19:35

Marejeo

  • +Zb 90:10
  • +Mhu 8:15; 12:5
  • +Ayu 12:11; Mhu 12:4
  • +Ezr 2:65; Ne 7:67; Mhu 2:8
  • +2Sa 13:25; 15:33

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    9/2018, kur. 9-10

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    1/2017, uku. 23

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2007, kur. 14-15

  • Fahirishi ya Machapisho

    w07 7/15 14-15

2 Samweli 19:36

Marejeo

  • +Lu 6:38

2 Samweli 19:37

Marejeo

  • +Yos 23:14; Lu 2:29
  • +Mwa 47:30; 49:29; 50:13
  • +1Fa 2:7

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2007, kur. 14-15

  • Fahirishi ya Machapisho

    w07 7/15 15

2 Samweli 19:39

Marejeo

  • +Mwa 31:55; Ru 1:14; 1Sa 20:41; 1Fa 19:20; Mdo 20:37
  • +Mwa 14:19; 47:7; Yos 22:6

2 Samweli 19:40

Marejeo

  • +1Sa 11:14

2 Samweli 19:41

Marejeo

  • +Amu 8:1; 12:1
  • +2Sa 19:15

2 Samweli 19:42

Marejeo

  • +Ru 4:12, 22; 2Sa 2:4; Zb 78:68; Mt 1:3, 6

2 Samweli 19:43

Marejeo

  • +1Fa 11:31; 12:16
  • +Mhu 4:4; Lu 22:24, 26; Gal 5:26; Flp 2:3

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

2 Sam. 19:12Sa 18:5, 14
2 Sam. 19:32Sa 17:24; 19:32
2 Sam. 19:42Sa 18:33
2 Sam. 19:5Zb 18:48
2 Sam. 19:52Sa 3:3; 5:14
2 Sam. 19:52Sa 13:1
2 Sam. 19:52Sa 5:13
2 Sam. 19:52Sa 15:16
2 Sam. 19:7Isa 40:2
2 Sam. 19:7Met 14:28
2 Sam. 19:82Sa 18:4, 24; 1Fa 22:10; Yer 38:7
2 Sam. 19:82Sa 18:17; 1Fa 22:36
2 Sam. 19:91Sa 17:50; 18:7; 19:5; 2Sa 5:25; 8:5
2 Sam. 19:92Sa 15:14
2 Sam. 19:102Sa 15:10, 12
2 Sam. 19:102Sa 18:14
2 Sam. 19:102Sa 3:17
2 Sam. 19:112Sa 8:17; 15:25; 1Fa 1:8
2 Sam. 19:111Sa 22:20; 30:7; 2Sa 15:24; 1Nya 15:11
2 Sam. 19:112Sa 2:4
2 Sam. 19:12Amu 9:2; 2Sa 5:1
2 Sam. 19:132Sa 17:25; 1Nya 2:17
2 Sam. 19:13Ru 1:17; 1Sa 3:17
2 Sam. 19:132Sa 8:16; 18:5, 14
2 Sam. 19:14Amu 20:1
2 Sam. 19:15Yos 5:9; 1Sa 11:14
2 Sam. 19:162Sa 16:5; 1Fa 2:36, 44
2 Sam. 19:161Fa 2:8
2 Sam. 19:162Sa 3:16; 17:18
2 Sam. 19:172Sa 9:2; 16:1
2 Sam. 19:172Sa 9:10
2 Sam. 19:182Sa 15:28
2 Sam. 19:18Zb 66:3; 81:15; Mhu 10:4
2 Sam. 19:191Sa 26:21; 2Sa 16:5
2 Sam. 19:192Sa 13:20, 33
2 Sam. 19:202Sa 19:43; 1Nya 5:2
2 Sam. 19:212Sa 23:18
2 Sam. 19:212Sa 2:18
2 Sam. 19:21Kut 22:28; 2Sa 16:7; 1Fa 21:13; Zb 105:15; Mhu 10:20; Mdo 23:5; 2Pe 2:10
2 Sam. 19:222Sa 3:39; 16:10
2 Sam. 19:221Sa 29:4; 1Fa 5:4; Mt 16:23; Yak 1:20
2 Sam. 19:221Sa 11:13
2 Sam. 19:231Fa 2:8, 37, 46; Ebr 6:16
2 Sam. 19:242Sa 9:6; 16:4
2 Sam. 19:242Sa 9:3
2 Sam. 19:24Ezr 9:3
2 Sam. 19:262Sa 9:9
2 Sam. 19:262Sa 4:4
2 Sam. 19:27Law 19:16; 2Sa 16:3; Zb 101:5; Met 6:19; 21:6
2 Sam. 19:271Sa 29:9; 2Sa 14:17
2 Sam. 19:282Sa 9:1, 7, 10, 13
2 Sam. 19:282Sa 9:8
2 Sam. 19:292Sa 16:4; Met 18:17; 29:4
2 Sam. 19:30Mt 5:40; 1Ko 6:7
2 Sam. 19:312Sa 17:27; 1Fa 2:7
2 Sam. 19:32Zb 90:10
2 Sam. 19:322Sa 17:28; Met 3:27; Ebr 13:16
2 Sam. 19:321Sa 25:2; Ayu 1:3
2 Sam. 19:332Sa 9:10; Met 11:25; Mt 7:12; Lu 6:38
2 Sam. 19:35Zb 90:10
2 Sam. 19:35Mhu 8:15; 12:5
2 Sam. 19:35Ayu 12:11; Mhu 12:4
2 Sam. 19:35Ezr 2:65; Ne 7:67; Mhu 2:8
2 Sam. 19:352Sa 13:25; 15:33
2 Sam. 19:36Lu 6:38
2 Sam. 19:37Yos 23:14; Lu 2:29
2 Sam. 19:37Mwa 47:30; 49:29; 50:13
2 Sam. 19:371Fa 2:7
2 Sam. 19:39Mwa 31:55; Ru 1:14; 1Sa 20:41; 1Fa 19:20; Mdo 20:37
2 Sam. 19:39Mwa 14:19; 47:7; Yos 22:6
2 Sam. 19:401Sa 11:14
2 Sam. 19:41Amu 8:1; 12:1
2 Sam. 19:412Sa 19:15
2 Sam. 19:42Ru 4:12, 22; 2Sa 2:4; Zb 78:68; Mt 1:3, 6
2 Sam. 19:431Fa 11:31; 12:16
2 Sam. 19:43Mhu 4:4; Lu 22:24, 26; Gal 5:26; Flp 2:3
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • 36
  • 37
  • 38
  • 39
  • 40
  • 41
  • 42
  • 43
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
2 Samweli 19:1-43

2 Samweli

19 Baadaye Yoabu akaletewa habari hii: “Tazama! Mfalme analia, naye anaendelea kuomboleza juu ya Absalomu.”+ 2 Basi wokovu wa siku ile ukawa pindi ya watu wote kuomboleza, kwa sababu watu walisikia ikisemwa siku hiyo: “Mfalme ameona uchungu kwa sababu ya mwana wake.” 3 Nao watu wakaanza kujificha na kuingia jijini siku hiyo,+ kama vile watu wanavyojificha wakati wanapofedheheka kwa sababu ya kukimbia vitani. 4 Naye mfalme akajifunika uso, na mfalme akaendelea kulia kwa sauti kubwa: “Mwanangu Absalomu! Absalomu mwanangu, mwanangu!”+

5 Mwishowe Yoabu akaingia kwa mfalme nyumbani na kusema: “Leo umeaibisha uso wa watumishi wako wote, walioiokoa nafsi yako leo+ na nafsi ya wana+ wako na binti+ zako na nafsi ya wake+ zako na nafsi ya masuria wako,+ 6 kwa kuwapenda wale wanaokuchukia na kuwachukia wale wanaokupenda; kwa maana leo umejulisha kwamba wakuu na watumishi si kitu kwako, kwa sababu mimi najua vema leo kwamba kama Absalomu angelikuwa hai na sisi sote wengine tungelikuwa wafu leo, basi hiyo ingelikuwa ni sawa machoni pako. 7 Na sasa ondoka, toka nje, useme moja kwa moja kwenye moyo+ wa watumishi wako, kwa sababu mimi naapa kwa Yehova kwamba, usipotoka, hakuna hata mtu mmoja atakayebaki pamoja nawe usiku wa leo;+ na jambo hilo kwa hakika litakuwa baya zaidi kwako kuliko madhara yote ambayo yamekupata kuanzia ujana wako mpaka sasa.” 8 Basi mfalme akaondoka, akaketi langoni,+ nao wakawapa watu wote habari hiyo, wakisema: “Tazama, mfalme ameketi langoni.” Na watu wote wakaanza kuja mbele ya mfalme.

Lakini Israeli walikuwa wamekimbia kila mmoja kwenda nyumbani kwake.+ 9 Na watu wote wakaja kuhusika katika ugomvi katika makabila yote ya Israeli, wakisema: “Mfalme ndiye aliyetuokoa kutoka mkononi mwa adui zetu,+ na yeye ndiye aliyetuokoa mkononi mwa Wafilisti; na sasa amekimbia kutoka katika nchi mbele ya Absalomu.+ 10 Naye Absalomu, tuliyemtia mafuta awe juu yetu,+ amekufa vitani.+ Basi sasa kwa nini hamfanyi lolote kumrudisha mfalme?”+

11 Basi Mfalme Daudi akatuma ujumbe kwa Sadoki+ na Abiathari,+ makuhani, akisema: “Semeni na wanaume wazee wa Yuda+ hivi, ‘Kwa nini ninyi muwe wa mwisho kumrudisha mfalme nyumbani kwake, wakati neno la Israeli wote limemfikia mfalme nyumbani kwake? 12 Ninyi ni ndugu zangu; ninyi ni mfupa na nyama yangu.+ Basi kwa nini muwe wa mwisho kumrudisha mfalme?’ 13 Nanyi mwambieni Amasa,+ ‘Je, wewe si mfupa wangu na nyama yangu? Basi Mungu na anifanyie hivyo na kuzidisha+ jambo hilo ikiwa hutakuwa mkuu wa jeshi mbele yangu sikuzote badala ya Yoabu.’”+

14 Naye akaanza kuelekeza moyo wa watu wote wa Yuda wakawa kama mtu mmoja,+ hivi kwamba wakampelekea mfalme neno hili: “Rudi, wewe na watumishi wako wote.”

15 Naye mfalme akaanza kurudi, akafika Yordani. Nao Yuda wakaja Gilgali+ ili kwenda kumpokea mfalme, wamvushe mfalme Yordani. 16 Ndipo Shimei+ mwana wa Gera,+ Mbenyamini, aliyetoka Bahurimu,+ akafanya haraka, akashuka pamoja na watu wa Yuda ili kumpokea Mfalme Daudi. 17 Na palikuwa na watu 1,000 pamoja naye kutoka Benyamini. (Na pia Siba+ mtumishi wa nyumba ya Sauli na wanawe 15+ na watumishi wake 20 walikuwa pamoja naye, nao wakafaulu kufika Yordani mbele ya mfalme. 18 Naye akavuka kivuko+ ili kuivusha nyumba ya mfalme na kufanya yaliyo mema machoni pake.) Naye Shimei mwana wa Gera akaanguka chini mbele ya mfalme alipokuwa karibu kuvuka Yordani.+ 19 Akamwambia mfalme: “Bwana wangu asinihesabie kosa, nawe usikumbuke kosa ambalo mtumishi wako alifanya+ siku ile bwana wangu alipotoka Yerusalemu, hivi kwamba mfalme aweke hilo moyoni mwake.+ 20 Kwa maana mtumishi wako anajua vema kwamba mimi ndiye niliyetenda dhambi; na kwa hiyo leo mimi hapa nimekuja wa kwanza kati ya nyumba yote ya Yosefu+ ili nishuke kumpokea bwana wangu mfalme.”

21 Mara moja Abishai,+ mwana wa Seruya,+ akajibu na kusema: “Je, Shimei hapaswi kuuawa kwa sababu hiyo, kwa maana alimlaani mtiwa-mafuta wa Yehova?”+ 22 Lakini Daudi akasema: “Nina nini nanyi,+ ninyi wana wa Seruya, kwamba muwe leo mpinzani+ wangu? Je, yeyote atauawa leo katika Israeli?+ Kwa maana, je, sijui vema kwamba leo mimi ni mfalme juu ya Israeli?” 23 Ndipo mfalme akamwambia Shimei: “Hutakufa.” Naye mfalme akamwapia.+

24 Na Mefiboshethi+ mjukuu wa Sauli akashuka kuja kumpokea mfalme; naye hakuwa ametunza miguu+ yake wala kutunza masharubu+ yake wala kufua mavazi yake tangu siku ile mfalme alipoondoka mpaka siku ile alipokuja kwa amani. 25 Na ikawa kwamba alipokuja Yerusalemu kumpokea mfalme, ndipo mfalme akamwambia: “Kwa nini hukwenda pamoja nami, Mefiboshethi?” 26 Naye akasema: “Bwana wangu mfalme, mtumishi wangu+ ndiye aliyenidanganya. Kwa maana mtumishi wako alikuwa amesema, ‘Acha nijitandikie punda-jike ili nimpande, niende pamoja na mfalme,’ kwa maana mtumishi wako ni kilema.+ 27 Kwa hiyo akamchongea+ mtumishi wako kwa bwana wangu mfalme. Lakini bwana wangu mfalme ni kama malaika+ wa Mungu wa kweli, na basi ufanye yaliyo mema machoni pako. 28 Kwa maana nyumba yote ya baba yangu ingelikuwa si kitu ila kuhukumiwa kifo mbele ya bwana wangu mfalme, na hata hivyo ulimweka mtumishi wako kati ya wale wanaokula mezani pako.+ Basi bado nina nini kama dai la haki la kumlilia+ zaidi mfalme?”

29 Hata hivyo, mfalme akamwambia: “Kwa nini bado unaendelea kusema maneno yako? Mimi nasema, Wewe na Siba mgawane hayo mashamba.”+ 30 Ndipo Mefiboshethi akamwambia mfalme: “Acha ayachukue yote,+ kwa vile sasa bwana wangu mfalme amekuja kwa amani nyumbani kwake.”

31 Naye Barzilai+ Mgileadi akashuka kutoka Rogelimu ili apite mpaka Yordani pamoja na mfalme, apate kumsindikiza mpaka Yordani. 32 Na Barzilai alikuwa mzee sana, akiwa na umri wa miaka 80;+ naye alimwandalia mfalme chakula alipokuwa akikaa Mahanaimu,+ kwa maana alikuwa mwanamume mkuu+ sana. 33 Basi mfalme akamwambia Barzilai: “Wewe vuka pamoja nami, nami nitakuandalia chakula wewe pamoja nami katika Yerusalemu.”+ 34 Lakini Barzilai akamwambia mfalme: “Siku za miaka ya maisha yangu ni ngapi, ili kwamba niende Yerusalemu pamoja na mfalme? 35 Mimi leo nina umri wa miaka 80.+ Je, ninaweza kutambua kati ya jema na baya, au je, mtumishi wako anaweza kuonja ladha ya kile ninachokula na kile ninachokunywa,+ au je, ninaweza kusikiliza+ tena sauti za waimbaji wa kiume na wa kike?+ Kwa nini basi mtumishi wako awe mzigo+ tena kwa bwana wangu mfalme? 36 Kwa maana ni umbali kidogo tu ambao mtumishi wako ameweza kumleta mfalme mpaka Yordani, na kwa nini mfalme anilipe thawabu hii?+ 37 Tafadhali, acha mtumishi wako arudi, na acha nife+ katika jiji langu karibu na kaburi la baba yangu na mama yangu.+ Lakini, tazama, mtumishi wako Kimhamu.+ Acha avuke pamoja na bwana wangu mfalme; nawe umfanyie yaliyo mema machoni pako.”

38 Basi mfalme akasema: “Kimhamu atavuka pamoja nami, nami nitamfanyia yaliyo mema machoni pako; na yote ambayo utaamua kuweka juu yangu nitakufanyia.” 39 Sasa watu wote wakaanza kuvuka Yordani, naye mfalme akavuka; lakini mfalme akambusu+ Barzilai na kumbariki,+ kisha akarudi mahali pake. 40 Mfalme alipovuka kwenda Gilgali,+ Kimhamu alivuka pamoja naye, na pia watu wote wa Yuda, na pia nusu ya watu wa Israeli, ili wamvushe mfalme.

41 Na, tazama! watu wote wa Israeli walikuwa wakimjia mfalme, nao wakamwambia mfalme: “Kwa nini+ ndugu zetu watu wa Yuda walikuiba ili wamlete mfalme na nyumba yake na watu wote wa Daudi pamoja naye kuvuka Yordani?”+ 42 Ndipo watu wote wa Yuda wakawajibu watu wa Israeli: “Kwa sababu mfalme ni mtu wa karibu wa jamaa yetu;+ na kwa nini mmekasirika kwa ajili ya jambo hili? Je, sisi tumekula kwa gharama ya mfalme, au je, tumepewa zawadi?”

43 Hata hivyo, watu wa Israeli wakawajibu watu wa Yuda na kusema: “Sisi tuna sehemu kumi katika mfalme,+ hivi kwamba hata katika Daudi sisi ni zaidi kuliko ninyi. Kwa nini, basi, mmetutendea kwa dharau, na kwa nini jambo letu halikuwa la kwanza+ sisi tumrudishe mfalme wetu?” Lakini neno la watu wa Yuda likawa kali zaidi kuliko neno la watu wa Israeli.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki