Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 13:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Kwa hiyo Absalomu+ ndugu yake akamwambia: “Je, Amnoni+ ndugu yako ndiye aliyekuwa nawe? Na sasa, dada yangu, nyamaza. Yeye ni ndugu yako.+ Usiweke moyo wako juu ya jambo hili.” Na Tamari akaanza kuishi katika nyumba ya Absalomu ndugu yake, huku akitengwa na ushirika wa wengine.

  • 2 Samweli 13:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Na sasa bwana wangu mfalme asiliweke neno hili moyoni mwake, kusema, ‘Wana wote wa mfalme wamekufa’; bali ni Amnoni peke yake aliyekufa.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki