5 Na mfalme akaendelea kuwaamuru Yoabu na Abishai na Itai, akisema: “Mtendeeni yule kijana Absalomu kwa upole+ kwa ajili yangu.” Na watu wote wakasikia mfalme alipowaamuru wale wakuu wote kuhusiana na jambo la Absalomu.
14 Ndipo Yoabu akasema: “Acha nisijikawize hivi mbele yako!” Basi akachukua mkononi mwake mikuki midogo mitatu, akaichoma+ ndani ya moyo wa Absalomu alipokuwa bado hai+ katikati ya ule mti mkubwa.