12 Lakini mtu huyo akamwambia Yoabu: “Hata kama mkononi mwangu ningekuwa na vipande elfu moja vya fedha, mimi singenyoosha mkono wangu juu ya mwana wa mfalme; kwa maana mfalme alikuamuru wewe na Abishai na Itai masikioni mwetu, akisema, ‘Hata kama wewe ni nani, lindeni yule kijana, Absalomu.’+