2 Samweli 18:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Na mfalme akaendelea kuwaamuru Yoabu na Abishai na Itai, akisema: “Mtendeeni yule kijana Absalomu kwa upole+ kwa ajili yangu.” Na watu wote wakasikia mfalme alipowaamuru wale wakuu wote kuhusiana na jambo la Absalomu.
5 Na mfalme akaendelea kuwaamuru Yoabu na Abishai na Itai, akisema: “Mtendeeni yule kijana Absalomu kwa upole+ kwa ajili yangu.” Na watu wote wakasikia mfalme alipowaamuru wale wakuu wote kuhusiana na jambo la Absalomu.