Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 18
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

2 Samweli 18:1

Marejeo

  • +1Sa 8:12; 1Nya 13:1; 1Ko 14:40

2 Samweli 18:2

Marejeo

  • +Amu 7:16; Met 20:18
  • +2Sa 8:16; 10:7
  • +2Sa 23:18
  • +1Nya 2:16
  • +2Sa 15:19, 21

2 Samweli 18:3

Marejeo

  • +2Sa 21:17
  • +2Sa 17:2; 1Fa 22:31
  • +2Sa 17:3; Omb 4:20
  • +Kut 17:10

2 Samweli 18:4

Marejeo

  • +Ru 3:5; Yak 3:17
  • +2Sa 18:24
  • +1Sa 29:2

2 Samweli 18:5

Marejeo

  • +2Sa 18:12

2 Samweli 18:6

Marejeo

  • +2Sa 17:26

2 Samweli 18:7

Marejeo

  • +2Sa 16:15
  • +2Sa 2:17; 2Nya 13:16; 28:6; Zb 3:7; Met 24:22

2 Samweli 18:8

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    3/15/1987, uku. 31

2 Samweli 18:9

Marejeo

  • +1Nya 21:16

2 Samweli 18:10

Marejeo

  • +2Sa 8:16; 18:2

2 Samweli 18:11

Marejeo

  • +1Sa 17:25; 1Nya 11:6

2 Samweli 18:12

Marejeo

  • +2Sa 18:5

2 Samweli 18:13

Marejeo

  • +Met 16:14; 24:21

2 Samweli 18:14

Marejeo

  • +Amu 4:21; 5:31; Zb 45:5
  • +2Sa 18:9

2 Samweli 18:15

Marejeo

  • +Kum 27:16, 20; 2Sa 12:10; Zb 63:9; Met 2:22; 20:20; 30:17

2 Samweli 18:16

Marejeo

  • +2Sa 2:28

2 Samweli 18:17

Marejeo

  • +Yos 7:26; 8:29; 10:27

2 Samweli 18:18

Marejeo

  • +1Sa 15:12
  • +Mwa 14:17
  • +Hes 27:4; 2Sa 14:27
  • +Zb 49:11

2 Samweli 18:19

Marejeo

  • +2Sa 15:36; 17:17
  • +2Sa 15:25; Zb 9:4

2 Samweli 18:20

Marejeo

  • +2Sa 18:5

2 Samweli 18:21

Marejeo

  • +Mwa 10:6; Hes 12:1; 2Nya 14:9

2 Samweli 18:23

Marejeo

  • +1Fa 7:46; 2Nya 4:17

2 Samweli 18:24

Marejeo

  • +2Sa 18:4
  • +2Sa 13:34; 2Fa 9:17; Isa 21:6

2 Samweli 18:27

Marejeo

  • +2Fa 9:20
  • +2Sa 18:19
  • +Met 25:13
  • +1Fa 1:42; Met 25:25

2 Samweli 18:28

Marejeo

  • +Mwa 14:20; 2Sa 22:47; Zb 124:6; 144:1
  • +1Sa 26:8; Zb 31:8

2 Samweli 18:29

Marejeo

  • +2Sa 18:19

2 Samweli 18:31

Marejeo

  • +2Sa 18:21
  • +2Sa 22:49; Zb 55:18; 94:1; 124:2

2 Samweli 18:32

Marejeo

  • +Amu 5:31; Zb 27:2; 68:1

2 Samweli 18:33

Marejeo

  • +2Sa 18:24
  • +2Sa 19:1
  • +2Sa 12:10; 17:14; Met 10:1; 19:13

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Amkeni!,

    3/8/1994, uku. 26

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

2 Sam. 18:11Sa 8:12; 1Nya 13:1; 1Ko 14:40
2 Sam. 18:2Amu 7:16; Met 20:18
2 Sam. 18:22Sa 8:16; 10:7
2 Sam. 18:22Sa 23:18
2 Sam. 18:21Nya 2:16
2 Sam. 18:22Sa 15:19, 21
2 Sam. 18:32Sa 21:17
2 Sam. 18:32Sa 17:2; 1Fa 22:31
2 Sam. 18:32Sa 17:3; Omb 4:20
2 Sam. 18:3Kut 17:10
2 Sam. 18:4Ru 3:5; Yak 3:17
2 Sam. 18:42Sa 18:24
2 Sam. 18:41Sa 29:2
2 Sam. 18:52Sa 18:12
2 Sam. 18:62Sa 17:26
2 Sam. 18:72Sa 16:15
2 Sam. 18:72Sa 2:17; 2Nya 13:16; 28:6; Zb 3:7; Met 24:22
2 Sam. 18:91Nya 21:16
2 Sam. 18:102Sa 8:16; 18:2
2 Sam. 18:111Sa 17:25; 1Nya 11:6
2 Sam. 18:122Sa 18:5
2 Sam. 18:13Met 16:14; 24:21
2 Sam. 18:14Amu 4:21; 5:31; Zb 45:5
2 Sam. 18:142Sa 18:9
2 Sam. 18:15Kum 27:16, 20; 2Sa 12:10; Zb 63:9; Met 2:22; 20:20; 30:17
2 Sam. 18:162Sa 2:28
2 Sam. 18:17Yos 7:26; 8:29; 10:27
2 Sam. 18:181Sa 15:12
2 Sam. 18:18Mwa 14:17
2 Sam. 18:18Hes 27:4; 2Sa 14:27
2 Sam. 18:18Zb 49:11
2 Sam. 18:192Sa 15:36; 17:17
2 Sam. 18:192Sa 15:25; Zb 9:4
2 Sam. 18:202Sa 18:5
2 Sam. 18:21Mwa 10:6; Hes 12:1; 2Nya 14:9
2 Sam. 18:231Fa 7:46; 2Nya 4:17
2 Sam. 18:242Sa 18:4
2 Sam. 18:242Sa 13:34; 2Fa 9:17; Isa 21:6
2 Sam. 18:272Fa 9:20
2 Sam. 18:272Sa 18:19
2 Sam. 18:27Met 25:13
2 Sam. 18:271Fa 1:42; Met 25:25
2 Sam. 18:28Mwa 14:20; 2Sa 22:47; Zb 124:6; 144:1
2 Sam. 18:281Sa 26:8; Zb 31:8
2 Sam. 18:292Sa 18:19
2 Sam. 18:312Sa 18:21
2 Sam. 18:312Sa 22:49; Zb 55:18; 94:1; 124:2
2 Sam. 18:32Amu 5:31; Zb 27:2; 68:1
2 Sam. 18:332Sa 18:24
2 Sam. 18:332Sa 19:1
2 Sam. 18:332Sa 12:10; 17:14; Met 10:1; 19:13
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
2 Samweli 18:1-33

2 Samweli

18 Na Daudi akawahesabu watu waliokuwa pamoja naye na kuweka juu yao wakuu wa maelfu na wakuu wa mamia.+ 2 Na zaidi ya hayo, Daudi akapeleka sehemu ya tatu+ ya watu iwe chini ya mkono wa Yoabu+ na sehemu ya tatu chini ya mkono wa Abishai+ mwana wa Seruya, ndugu ya Yoabu,+ na sehemu ya tatu chini ya mkono wa Itai+ Mgathi. Kisha mfalme akawaambia watu: “Mimi pia hakika nitaenda pamoja nanyi.” 3 Lakini watu wakasema: “Usitoke kwenda nje,+ kwa maana tukikimbia, hawataweka moyo wao juu yetu;+ na nusu yetu tukifa, hawataweka moyo wao juu yetu, kwa sababu thamani yako ni kama elfu kumi kati yetu;+ na sasa ingekuwa bora ututumikie kwa kutupa msaada+ ukiwa jijini.” 4 Basi mfalme akawaambia: “Lolote lililo jema machoni penu nitafanya.”+ Na mfalme akaendelea kusimama kando ya lango,+ na watu wote wakatoka kwa mamia yao na kwa maelfu yao.+ 5 Na mfalme akaendelea kuwaamuru Yoabu na Abishai na Itai, akisema: “Mtendeeni yule kijana Absalomu kwa upole+ kwa ajili yangu.” Na watu wote wakasikia mfalme alipowaamuru wale wakuu wote kuhusiana na jambo la Absalomu.

6 Na watu wakaendelea kwenda nje kukutana na Israeli; na pigano likawa katika msitu wa Efraimu.+ 7 Mwishowe watu wa Israeli+ wakashindwa+ hapo mbele ya watumishi wa Daudi, na mauaji hapo yakawa makubwa siku hiyo, ya watu 20,000. 8 Na pigano hapo likaenea katika nchi yote yenye kuonekana. Zaidi ya hayo, huo msitu ulikula watu wengi kuliko wale walioliwa na upanga siku hiyo.

9 Mwishowe Absalomu akajikuta mbele ya watumishi wa Daudi. Na Absalomu alikuwa amepanda nyumbu, na yule nyumbu akaja chini ya mtandao wa matawi ya mti mkubwa mno, hivi kwamba kichwa chake kikakwama kabisa katika ule mti mkubwa, naye akainuliwa juu kati ya mbingu na dunia,+ na yule nyumbu aliyekuwa chini yake akapita, akazidi kwenda mbele. 10 Ndipo mtu fulani akaona hayo, akamwambia Yoabu+ na kusema: “Tazama! Nimemwona Absalomu akiwa amening’inia katika mti mkubwa.” 11 Ndipo Yoabu akamwambia yule mtu aliyekuwa akimpasha habari: “Wewe uliona, kwa nini basi hukumpiga, aanguke chini hapo? Ndipo ningekuwa na wajibu wa kukupa vipande kumi vya fedha na mshipi.”+ 12 Lakini mtu huyo akamwambia Yoabu: “Hata kama mkononi mwangu ningekuwa na vipande elfu moja vya fedha, mimi singenyoosha mkono wangu juu ya mwana wa mfalme; kwa maana mfalme alikuamuru wewe na Abishai na Itai masikioni mwetu, akisema, ‘Hata kama wewe ni nani, lindeni yule kijana, Absalomu.’+ 13 Kama sivyo ningeitendea nafsi yake hila na mambo hayo yote hayangefichwa kutoka kwa mfalme,+ nawe mwenyewe ungesimama kando.” 14 Ndipo Yoabu akasema: “Acha nisijikawize hivi mbele yako!” Basi akachukua mkononi mwake mikuki midogo mitatu, akaichoma+ ndani ya moyo wa Absalomu alipokuwa bado hai+ katikati ya ule mti mkubwa. 15 Kisha watumishi kumi wenye kuchukua silaha za Yoabu wakaja, wakampiga Absalomu ili wamuue.+ 16 Sasa Yoabu akapiga baragumu,+ ili watu warudi, waache kufuatilia Israeli; kwa maana Yoabu alikuwa amewazuia watu. 17 Mwishowe wakamchukua Absalomu, wakamtupa msituni ndani ya shimo kubwa, wakarundika juu yake fungu kubwa sana la mawe.+ Lakini Israeli wote wakakimbia, kila mtu akaenda nyumbani kwake.

18 Sasa Absalomu, alipokuwa angali hai, alikuwa amechukua na kujisimamishia nguzo,+ ambayo ipo katika Nchi Tambarare ya Chini ya Mfalme,+ kwa maana alisema: “Sina mwana ili kuweka jina langu katika kumbukumbu.”+ Basi akaiita nguzo hiyo kwa jina+ lake mwenyewe, nayo inaendelea kuitwa Mnara wa Ukumbusho wa Absalomu mpaka leo hii.

19 Naye Ahimaazi+ mwana wa Sadoki akasema: “Tafadhali, acha nikimbie, nimpelekee mfalme habari hizi, kwa sababu Yehova amemhukumu ili amweke huru kutoka mkononi mwa adui zake.”+ 20 Lakini Yoabu akamwambia: “Wewe si mtu wa kupeleka habari leo, nawe utapeleka habari hizo siku nyingine; lakini leo usipeleke habari hizi, kwa sababu mwana wa mfalme amekufa.”+ 21 Ndipo Yoabu akamwambia Mkushi:+ “Nenda, mwambie mfalme yale ambayo umeona.” Kwa hiyo yule Mkushi akamwinamia Yoabu, akaanza kukimbia. 22 Basi Ahimaazi mwana wa Sadoki akamwambia tena Yoabu: “Tafadhali, sasa acha lolote litakalotokea litokee, acha mimi pia nikimbie nyuma ya yule Mkushi.” Hata hivyo, Yoabu akasema: “Kwa nini wewe ukimbie, mwanangu, na hakuna habari zozote kwa ajili yako?” 23 Na bado akasema: “Acha sasa litakalotokea litokee, acha nikimbie.” Basi akamwambia: “Kimbia!” Ndipo Ahimaazi akaanza kukimbia kupitia njia ya ile Wilaya,+ na mwishowe akampita yule Mkushi.

24 Basi Daudi alikuwa ameketi kati ya yale malango mawili.+ Na wakati huo mlinzi+ akaenda juu ya paa ya lango kando ya ukuta. Baada ya muda akainua macho yake, akaona, na tazama! palikuwa na mtu anakimbia akiwa peke yake. 25 Kwa hiyo yule mlinzi akaita na kumwambia mfalme, kisha mfalme akasema: “Ikiwa yuko peke yake, kuna habari kinywani mwake.” Naye akazidi kuja, akaendelea kusogea karibu. 26 Sasa mlinzi akaona mtu mwingine akiwa anakimbia. Kwa hiyo mlinzi akamwita mtunza-lango na kusema: “Tazama! Mtu mwingine anakimbia akiwa peke yake!” naye mfalme akasema: “Huyo pia ni mleta-habari.” 27 Na mlinzi akaendelea kusema: “Ninaona kwamba namna ya kukimbia ya yule wa kwanza ni kama namna ya kukimbia+ ya Ahimaazi+ mwana wa Sadoki,” naye mfalme akasema: “Huyu ni mtu mwema,+ naye hakika anakuja na habari njema.”+ 28 Mwishowe Ahimaazi akaita na kumwambia mfalme: “Ni vema!” Ndipo akamwinamia mfalme kifudifudi. Naye akaendelea kusema: “Abarikiwe+ Yehova Mungu wako, ambaye amewatoa+ watu walionyoosha mkono wao juu ya bwana wangu mfalme!”

29 Hata hivyo, mfalme akasema: “Je, mambo ni mema kwa yule kijana Absalomu?” Naye Ahimaazi akasema: “Niliona ghasia kubwa wakati Yoabu alipotuma mtumishi wa mfalme na mtumishi wako, nami sikujua ni ya nini.”+ 30 Kwa hiyo mfalme akasema: “Ondokea kando, simama pale.” Basi akaondokea kando, akasimama tuli.

31 Na tazama, yule Mkushi+ akaingia, na huyo Mkushi akaanza kusema: “Acha bwana wangu mfalme apokee habari, kwa maana Yehova amekuhukumu leo ili kukuweka huru kutoka mkononi mwa wote wanaosimama juu yako.”+ 32 Lakini mfalme akamwambia Mkushi: “Je, mambo ni mema kwa yule kijana Absalomu?” Ndipo Mkushi akasema: “Adui za bwana wangu mfalme na wote waliosimama juu yako kwa uovu na wawe kama yule kijana.”+

33 Ndipo mfalme akahuzunika, akaenda juu katika chumba cha dari+ juu ya njia ya lango, akaanza kulia; naye alisema hivi akiwa anatembea: “Mwanangu Absalomu, mwanangu, mwanangu+ Absalomu! Laiti mimi mwenyewe ningekufa badala yako, Absalomu mwanangu, mwanangu!”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki