-
2 Samweli 18:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Mwishowe Absalomu akajikuta mbele ya watumishi wa Daudi. Na Absalomu alikuwa amepanda nyumbu, na yule nyumbu akaja chini ya mtandao wa matawi ya mti mkubwa mno, hivi kwamba kichwa chake kikakwama kabisa katika ule mti mkubwa, naye akainuliwa juu kati ya mbingu na dunia,+ na yule nyumbu aliyekuwa chini yake akapita, akazidi kwenda mbele.
-