19 Ndipo mfalme akamwambia Itai+ Mgathi: “Kwa nini wewe pia uende pamoja nasi? Rudi,+ ukae na mfalme; kwa maana wewe ni mgeni, na tena, wewe ni mhamishwa kutoka mahali pako.
21 Lakini Itai akamjibu mfalme na kusema: “Kama Yehova anavyoishi na kama anavyoishi+ bwana wangu mfalme, mahali atakapokuwa bwana wangu mfalme, iwe ni kifo ama ni uzima, hapo ndipo mtumishi wako atakapokuwa!”+