2 Samweli 18:28 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 28 Kisha Ahimaazi akamwambia hivi mfalme kwa sauti: “Mambo yote ni sawa!” Ndipo akamwinamia mfalme kifudifudi. Halafu akasema: “Abarikiwe Yehova Mungu wako, ambaye amewatia mikononi mwako wanaume waliokuasi* bwana wangu mfalme!”+
28 Kisha Ahimaazi akamwambia hivi mfalme kwa sauti: “Mambo yote ni sawa!” Ndipo akamwinamia mfalme kifudifudi. Halafu akasema: “Abarikiwe Yehova Mungu wako, ambaye amewatia mikononi mwako wanaume waliokuasi* bwana wangu mfalme!”+