2 Samweli 18:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Lakini bado akasema: “Liwalo na liwe, acha nikimbie.” Yoabu akamwambia: “Kimbia!” Basi Ahimaazi akakimbia kupitia njia ya wilaya ya Yordani,* na hatimaye akampita huyo Mkushi.
23 Lakini bado akasema: “Liwalo na liwe, acha nikimbie.” Yoabu akamwambia: “Kimbia!” Basi Ahimaazi akakimbia kupitia njia ya wilaya ya Yordani,* na hatimaye akampita huyo Mkushi.