-
2 Samweli 18:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Ahimaazi mwana wa Sadoki akamwambia tena Yoabu: “Liwalo na liwe, tafadhali niruhusu nikimbie na kumfuata yule Mkushi.” Hata hivyo, Yoabu akamwambia: “Mwanangu, kwa nini ukimbie wakati huna habari yoyote ya kupeleka?”
-