-
2 Samweli 18:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Basi Ahimaazi mwana wa Sadoki akamwambia tena Yoabu: “Tafadhali, sasa acha lolote litakalotokea litokee, acha mimi pia nikimbie nyuma ya yule Mkushi.” Hata hivyo, Yoabu akasema: “Kwa nini wewe ukimbie, mwanangu, na hakuna habari zozote kwa ajili yako?”
-