2 Nami nitamfikia wakati yeye amechoka na mikono yake ina unyonge,+ nami nitamtetemesha; na watu wote walio pamoja naye watakimbia, nami nitampiga na kumuua mfalme akiwa peke yake.+
31 Naye mfalme wa Siria alikuwa amewaamuru wale wakuu 32+ wa magari yake, akisema: “Msipigane na mdogo wala na mkuu, ila na mfalme wa Israeli peke yake.”+