Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 7:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Nao wakaweka rundo kubwa la mawe juu yake, mpaka leo hii.+ Ndipo Yehova akaiacha hasira yake inayowaka.+ Ndiyo sababu jina la mahali hapo limeitwa Nchi Tambarare ya Chini ya Akori,+ mpaka leo hii.

  • Yoshua 8:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Naye akamtundika mfalme wa Ai+ juu ya mti mpaka jioni;+ na jua lilipokaribia kutua, Yoshua akatoa amri nao wakachukua maiti yake+ kutoka mtini na kuitupa kwenye mwingilio wa lango la jiji nao wakaweka rundo kubwa la mawe juu yake, mpaka leo hii.

  • Yoshua 10:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Na ikawa kwamba Yoshua akatoa amri wakati wa kutua kwa jua, nao wakawashusha kutoka juu ya miti+ hiyo na kuwatupa ndani ya pango ambamo walikuwa wamejificha. Kisha wakaweka mawe makubwa katika kinywa cha pango hilo—mpaka leo hii.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki