2 Samweli 19:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Mefiboshethi,+ mjukuu wa Sauli, akashuka pia kuja kumpokea mfalme. Hakuwa ameosha miguu wala kukata kucha zake wala hakuwa amenyoa masharubu yake wala kufua mavazi yake tangu siku ambayo mfalme aliondoka mpaka siku aliyorudi kwa amani.
24 Mefiboshethi,+ mjukuu wa Sauli, akashuka pia kuja kumpokea mfalme. Hakuwa ameosha miguu wala kukata kucha zake wala hakuwa amenyoa masharubu yake wala kufua mavazi yake tangu siku ambayo mfalme aliondoka mpaka siku aliyorudi kwa amani.