2 Samweli 19:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Na Mefiboshethi+ mjukuu wa Sauli akashuka kuja kumpokea mfalme; naye hakuwa ametunza miguu+ yake wala kutunza masharubu+ yake wala kufua mavazi yake tangu siku ile mfalme alipoondoka mpaka siku ile alipokuja kwa amani.
24 Na Mefiboshethi+ mjukuu wa Sauli akashuka kuja kumpokea mfalme; naye hakuwa ametunza miguu+ yake wala kutunza masharubu+ yake wala kufua mavazi yake tangu siku ile mfalme alipoondoka mpaka siku ile alipokuja kwa amani.