Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 9:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Wakati Mefiboshethi mwana wa Yonathani mwana wa Sauli alipoingia kwa Daudi, akaanguka mara moja kifudifudi, akasujudu.+ Ndipo Daudi akasema: “Mefiboshethi!” naye akajibu: “Mimi hapa, mtumishi wako.”

  • 2 Samweli 16:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Basi mfalme akamwambia Siba: “Tazama! Mali yote ya Mefiboshethi ni yako.”+ Na Siba akasema: “Mimi ninainama.+ Na nipate kibali machoni pako, bwana wangu mfalme.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki