2 Samweli 14:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Ndipo Yoabu akaanguka kifudifudi, akasujudu na kumbariki mfalme;+ kisha Yoabu akasema: “Leo mtumishi wako amejua kwamba nimepata kibali machoni pako,+ Ee bwana wangu mfalme, kwa maana mfalme ametenda kulingana na neno la mtumishi wake.”
22 Ndipo Yoabu akaanguka kifudifudi, akasujudu na kumbariki mfalme;+ kisha Yoabu akasema: “Leo mtumishi wako amejua kwamba nimepata kibali machoni pako,+ Ee bwana wangu mfalme, kwa maana mfalme ametenda kulingana na neno la mtumishi wake.”