1 Samweli 24:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 Basi Daudi akainuka baadaye, akatoka nje ya lile pango na kumwita Sauli, akisema: “Bwana wangu+ mfalme!” Ndipo Sauli akatazama nyuma, naye Daudi akainama kifudifudi,+ akasujudu. 1 Samweli 25:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Abigaili alipomwona Daudi, akafanya haraka mara moja, akashuka kutoka juu ya yule punda, akaanguka kifudifudi mbele ya Daudi, akainama+ chini.
8 Basi Daudi akainuka baadaye, akatoka nje ya lile pango na kumwita Sauli, akisema: “Bwana wangu+ mfalme!” Ndipo Sauli akatazama nyuma, naye Daudi akainama kifudifudi,+ akasujudu.
23 Abigaili alipomwona Daudi, akafanya haraka mara moja, akashuka kutoka juu ya yule punda, akaanguka kifudifudi mbele ya Daudi, akainama+ chini.