-
1 Samweli 29:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Nao wakuu wa Wafilisti wakamghadhibikia; na wakuu Wafilisti wakaendelea kumwambia: “Mrudishe mtu huyo,+ mwache arudi mahali ulipompa; wala usiache ashuke pamoja nasi kwenda vitani, asije akawa mpinzani+ wetu katika vita. Na je, mtu huyu atajipatia kibali kwa bwana wake jinsi gani? Je, si kwa vichwa vya watu wetu?
-