Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 29
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

1 Samweli 29:1

Marejeo

  • +1Sa 28:1
  • +Yos 19:18; 1Sa 29:11; 2Sa 4:4

1 Samweli 29:2

Marejeo

  • +Yos 13:3; Amu 3:3; 1Sa 5:8
  • +1Sa 28:2

1 Samweli 29:3

Marejeo

  • +1Sa 13:19; 2Ko 11:22
  • +1Sa 27:7
  • +1Sa 27:12; Met 14:15

1 Samweli 29:4

Marejeo

  • +1Nya 12:19
  • +1Sa 14:21

1 Samweli 29:5

Marejeo

  • +1Sa 18:7; 21:11

1 Samweli 29:6

Marejeo

  • +1Sa 21:10; 27:2
  • +1Sa 20:21; Yer 12:16
  • +Hes 27:17; Zb 121:8
  • +1Sa 28:2
  • +1Sa 27:11, 12; 29:3; Mt 10:16
  • +1Sa 29:2

1 Samweli 29:8

Marejeo

  • +1Sa 27:11
  • +1Sa 28:2

1 Samweli 29:9

Marejeo

  • +1Sa 27:12; 2Sa 14:17, 20; 19:27; Met 14:35; Gal 4:14

1 Samweli 29:10

Marejeo

  • +Zb 37:23; Met 16:9; 21:1; Yer 10:23; 2Pe 2:9

1 Samweli 29:11

Marejeo

  • +Zb 91:11; 119:133
  • +Yos 19:18; 1Sa 29:1; 2Sa 4:4

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

1 Sam. 29:11Sa 28:1
1 Sam. 29:1Yos 19:18; 1Sa 29:11; 2Sa 4:4
1 Sam. 29:2Yos 13:3; Amu 3:3; 1Sa 5:8
1 Sam. 29:21Sa 28:2
1 Sam. 29:31Sa 13:19; 2Ko 11:22
1 Sam. 29:31Sa 27:7
1 Sam. 29:31Sa 27:12; Met 14:15
1 Sam. 29:41Nya 12:19
1 Sam. 29:41Sa 14:21
1 Sam. 29:51Sa 18:7; 21:11
1 Sam. 29:61Sa 21:10; 27:2
1 Sam. 29:61Sa 20:21; Yer 12:16
1 Sam. 29:6Hes 27:17; Zb 121:8
1 Sam. 29:61Sa 28:2
1 Sam. 29:61Sa 27:11, 12; 29:3; Mt 10:16
1 Sam. 29:61Sa 29:2
1 Sam. 29:81Sa 27:11
1 Sam. 29:81Sa 28:2
1 Sam. 29:91Sa 27:12; 2Sa 14:17, 20; 19:27; Met 14:35; Gal 4:14
1 Sam. 29:10Zb 37:23; Met 16:9; 21:1; Yer 10:23; 2Pe 2:9
1 Sam. 29:11Zb 91:11; 119:133
1 Sam. 29:11Yos 19:18; 1Sa 29:1; 2Sa 4:4
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
1 Samweli 29:1-11

1 Samweli

29 Na Wafilisti+ wakakusanya kambi zao zote kule Afeki, huku Waisraeli wakipiga kambi kando ya bubujiko lililo katika Yezreeli.+ 2 Na wakuu wa muungano wa Wafilisti+ walikuwa wakipita kwa mamia na kwa maelfu, na Daudi na watu wake walikuwa wakipita baadaye pamoja na Akishi.+ 3 Nao wakuu wa Wafilisti wakaanza kusema: “Hawa Waebrania+ wanataka nini?” Naye Akishi akawaambia wakuu wa Wafilisti: “Je, huyu si Daudi mtumishi wa Sauli mfalme wa Israeli, aliyekuwa pamoja nami hapa mwaka mmoja au miwili,+ nami sijapata+ndani yake jambo hata moja tangu siku ile alipotoroka kuja kwangu mpaka leo hii?” 4 Nao wakuu wa Wafilisti wakamghadhibikia; na wakuu Wafilisti wakaendelea kumwambia: “Mrudishe mtu huyo,+ mwache arudi mahali ulipompa; wala usiache ashuke pamoja nasi kwenda vitani, asije akawa mpinzani+ wetu katika vita. Na je, mtu huyu atajipatia kibali kwa bwana wake jinsi gani? Je, si kwa vichwa vya watu wetu? 5 Je, huyu si Daudi ambaye waliendelea kuitikia katika kucheza dansi, wakisema, ‘Sauli amepiga maelfu yake, na Daudi makumi ya maelfu yake’?”+

6 Basi Akishi+ akamwita Daudi na kumwambia: “Kama Yehova anavyoishi,+ wewe ni mnyoofu, na kutoka kwako na kuingia kwako+ pamoja nami katika kambi kumekuwa kwema machoni pangu;+ kwa maana sijapata ubaya ndani yako tangu siku ile ulipokuja kwangu mpaka leo hii.+ Lakini machoni pa wakuu wa muungano+ wewe si mwema. 7 Na sasa rudi, uende kwa amani, usije ukafanya jambo lolote baya machoni pa wakuu wa muungano wa Wafilisti.” 8 Hata hivyo, Daudi akamwambia Akishi: “Kwani nimefanya nini,+ nawe umepata nini ndani ya mtumishi wako tangu siku ile nilipokuja mbele yako mpaka leo hii,+ ili nisije na kupigana na adui za bwana wangu mfalme?” 9 Ndipo Akishi akajibu na kumwambia Daudi: “Najua vema kwamba umekuwa mwema machoni pangu, kama malaika wa Mungu.+ Ila wakuu wa Wafilisti ndio wamesema, ‘Asipande pamoja nasi kwenda vitani.’ 10 Na sasa ondokeni asubuhi na mapema pamoja na watumishi wa bwana wako waliokuja nawe; nanyi mwondoke asubuhi na mapema wakati kutakapokuwa kumewapambazukia. Kisha mwende zenu.”+

11 Basi Daudi akaondoka mapema, yeye na watu wake, ili waende asubuhi+ na kurudi katika nchi ya Wafilisti; nao Wafilisti wakapanda, wakaenda Yezreeli.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki