2 Samweli 9:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Sasa mfalme akamwita Siba, mtumishi wa Sauli, akamwambia: “Kila kitu ambacho kilikuwa cha Sauli na cha nyumba yake yote,+ nampa mjukuu wa bwana wako.
9 Sasa mfalme akamwita Siba, mtumishi wa Sauli, akamwambia: “Kila kitu ambacho kilikuwa cha Sauli na cha nyumba yake yote,+ nampa mjukuu wa bwana wako.