2 Samweli 9:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Sasa mfalme akaagiza Siba mtumishi wa Sauli aitwe, akamwambia: “Kila kitu ambacho kilikuwa cha Sauli na nyumba yake yote ninampa mjukuu wa bwana wako.+
9 Sasa mfalme akaagiza Siba mtumishi wa Sauli aitwe, akamwambia: “Kila kitu ambacho kilikuwa cha Sauli na nyumba yake yote ninampa mjukuu wa bwana wako.+