17 Mwishowe wakamchukua Absalomu, wakamtupa msituni ndani ya shimo kubwa, wakarundika juu yake fungu kubwa sana la mawe.+ Lakini Israeli wote wakakimbia, kila mtu akaenda nyumbani kwake.
36 Na sauti kuu ikaanza kusikika katika kambi karibu na wakati wa kutua kwa jua, ikisema: “Kila mtu aende katika jiji lake, na kila mtu aende katika nchi yake!”+