-
2 Samweli 13:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Na mimi, je, nitapeleka wapi shutuma yangu? Na wewe utakuwa kama mmoja wa wanaume wasio na akili katika Israeli. Na sasa, tafadhali, sema na mfalme; kwa maana hatakuzuilia mimi.”
-