-
1 Mambo ya Nyakati 17:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Na sasa, Ee Yehova, lile neno ambalo umesema kumhusu mtumishi wako na kuihusu nyumba yake na liwe la kuaminika mpaka wakati usio na kipimo, na ufanye kama ulivyosema.
-