-
1 Samweli 18:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Zaidi ya hayo, Yonathani akavua koti lake lisilo na mikono alilokuwa amevaa, akampa Daudi, na pia mavazi yake, na hata upanga wake na upinde wake na mshipi wake.
-
-
1 Samweli 20:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Nami nitapiga mishale mitatu upande mmoja wa jiwe hili, niitupe mahali nitakapotaka kuelekea shabaha.
-