10 ndipo akamtuma haraka Hadoramu+ mwana wake kwa Mfalme Daudi aulize hali yake na kumpongeza kwa sababu alikuwa amepigana na Hadadezeri na kumpiga (kwa maana Hadadezeri alikuwa amezoea kupigana na Tou,) naye alikuwa na aina zote za vyombo vya dhahabu na fedha+ na shaba.