Mwanzo 24:53 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 53 Na huyo mtumishi akaanza kutoa vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu na mavazi akampa Rebeka; naye akawapa vitu bora ndugu yake na mama yake.+
53 Na huyo mtumishi akaanza kutoa vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu na mavazi akampa Rebeka; naye akawapa vitu bora ndugu yake na mama yake.+