-
Mwanzo 24:53Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
53 Na mtumishi huyo akaanza kutoa vito vya fedha na dhahabu na mavazi na kumpa Rebeka, naye akampa ndugu yake na mama yake vitu vyenye thamani.
-