Mwanzo 24:53 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 53 Na huyo mtumishi akaanza kutoa vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu na mavazi akampa Rebeka; naye akawapa vitu bora ndugu yake na mama yake.+ Mwanzo Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 24:53 Mnara wa Mlinzi,7/1/1989, kur. 26-27
53 Na huyo mtumishi akaanza kutoa vyombo vya fedha na vyombo vya dhahabu na mavazi akampa Rebeka; naye akawapa vitu bora ndugu yake na mama yake.+