8 Baada ya hayo Kaini akamwambia Abeli ndugu yake: “Twende shambani.” Basi ikawa kwamba walipokuwa shambani Kaini akamshambulia Abeli ndugu yake, akamuua.+
13 Hata hivyo, akatoka siku iliyofuata, na tazama, wanaume wawili Waebrania walikuwa wakipambana. Basi akamwambia mwenye kosa: “Kwa nini umpige mwenzako?”+