1 Samweli 30:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Zaidi ya hayo, wakampa kipande cha keki ya tini zilizoshinikizwa na keki mbili za zabibu kavu.+ Ndipo akala na roho+ yake ikarudi kwake; kwa maana hakuwa amekula mkate wala kunywa maji kwa siku tatu, mchana na usiku.
12 Zaidi ya hayo, wakampa kipande cha keki ya tini zilizoshinikizwa na keki mbili za zabibu kavu.+ Ndipo akala na roho+ yake ikarudi kwake; kwa maana hakuwa amekula mkate wala kunywa maji kwa siku tatu, mchana na usiku.