-
Yoshua 2:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Basi wakaenda na kufika katika eneo lenye milima, wakakaa huko siku tatu, mpaka wale wenye kuwafuatilia walipokuwa wamerudi. Basi wale wenye kuwafuatilia walikuwa wakiwatafuta katika kila barabara, lakini hawakuwaona.
-