Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 20:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 “Haruni atakusanywa kwa watu wake,+ kwa maana hataingia katika nchi ambayo nitawapa wana wa Israeli, kwa sababu ninyi mliasi agizo langu kuhusiana na maji ya Meriba.+

  • Hesabu 22:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Ndipo malaika wa Yehova akamwambia: “Kwa nini umempiga punda wako mara hizi tatu? Tazama! Mimi—mimi nimekuja kukuzuia, kwa sababu njia yako imekwenda moja kwa moja kinyume cha mapenzi yangu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki