1 Wafalme 15:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Naye Nadabu+ mwana wa Yeroboamu akawa mfalme juu ya Israeli katika mwaka wa pili wa Asa mfalme wa Yuda; naye akaendelea kutawala juu ya Israeli miaka miwili.
25 Naye Nadabu+ mwana wa Yeroboamu akawa mfalme juu ya Israeli katika mwaka wa pili wa Asa mfalme wa Yuda; naye akaendelea kutawala juu ya Israeli miaka miwili.