17 na ngao ndogo mia tatu za dhahabu iliyochanganywa (akaweka mina tatu za dhahabu kwenye kila ngao ndogo).+ Kisha mfalme akaziweka katika Nyumba ya Msitu wa Lebanoni.+
15 Na Mfalme Sulemani akatengeneza ngao kubwa mia mbili za dhahabu iliyochanganywa+ (akaweka shekeli mia sita za dhahabu iliyochanganywa kwenye kila ngao kubwa),+