2 Samweli 19:31 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 31 Naye Barzilai+ Mgileadi akashuka kutoka Rogelimu ili apite mpaka Yordani pamoja na mfalme, apate kumsindikiza mpaka Yordani.
31 Naye Barzilai+ Mgileadi akashuka kutoka Rogelimu ili apite mpaka Yordani pamoja na mfalme, apate kumsindikiza mpaka Yordani.