-
1 Wafalme 18:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Sasa na watupe sisi ng’ombe-dume wachanga wawili, nao wajichagulie ng’ombe-dume mmoja mchanga, wamkate vipande-vipande na kumweka juu ya kuni, lakini wasiziwashe moto. Na mimi nitamtayarisha yule ng’ombe mchanga mwingine, nami nitamweka juu ya kuni, lakini sitaziwasha moto.
-