8 Nanyi andikeni kwa ajili ya Wayahudi kulingana na yaliyo mema machoni penu wenyewe katika jina la mfalme,+ nanyi myatie muhuri kwa pete ya mfalme; kwa maana maandishi ambayo yameandikwa kwa jina la mfalme na kutiwa muhuri kwa pete ya mfalme hayawezi kufutwa.”+