-
1 Wafalme 2:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Naye akasema: “Nina ombi moja dogo ninalotoa kwako. Usiugeuzie mbali uso wangu.” Basi mfalme akamwambia: “Toa ombi hilo, mama yangu; kwa maana sitaugeuzia mbali uso wako.”
-