-
Ezekieli 41:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Nao mwingilio wa chumba cha kando ulikuwa katika upande wa ile nafasi iliyoachwa wazi, mwingilio mmoja ukielekea kaskazini na mwingilio mmoja upande wa kusini; nao upana wa eneo la nafasi iliyoachwa wazi ulikuwa mikono mitano, kuzunguka pande zote.
-