Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 “Na itatukia kwamba ikiwa hutasikiliza sauti ya Yehova Mungu wako kwa kuwa mwangalifu kutenda amri yake yote na kanuni zake ninazokuamuru wewe leo, laana hizi zote zitakujia pia na kukufikia:+

  • 2 Mambo ya Nyakati 15:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Kwa hiyo akaenda mbele ya Asa na kumwambia: “Mnisikilize mimi, Ee Asa na Yuda wote na Benyamini! Yehova yuko pamoja nanyi ikiwa ninyi mko pamoja naye;+ nanyi mkimtafuta,+ atawaruhusu mumpate, lakini mkimwacha yeye atawaacha ninyi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki