2 Wafalme 17:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Na mfalme wa Ashuru akapanda kuja juu ya nchi yote na kupanda kuja mpaka Samaria, akalizingira+ kwa miaka mitatu.
5 Na mfalme wa Ashuru akapanda kuja juu ya nchi yote na kupanda kuja mpaka Samaria, akalizingira+ kwa miaka mitatu.