2 Wafalme 3:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Na mfalme wa Israeli na mfalme wa Yuda na mfalme wa Edomu+ wakaenda, wakazidi kwenda kwa siku saba, na kukawa hakuna maji kwa ajili ya hiyo kambi na kwa ajili ya wanyama wa kufugwa waliokuwa wakifuata hatua zao.
9 Na mfalme wa Israeli na mfalme wa Yuda na mfalme wa Edomu+ wakaenda, wakazidi kwenda kwa siku saba, na kukawa hakuna maji kwa ajili ya hiyo kambi na kwa ajili ya wanyama wa kufugwa waliokuwa wakifuata hatua zao.