2 Wafalme 8:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Na ikawa kwamba mwishoni mwa miaka saba yule mwanamke akarudi kutoka katika nchi ya Wafilisti, akaenda kumlilia mfalme+ kwa ajili ya nyumba yake na kwa ajili ya shamba lake.
3 Na ikawa kwamba mwishoni mwa miaka saba yule mwanamke akarudi kutoka katika nchi ya Wafilisti, akaenda kumlilia mfalme+ kwa ajili ya nyumba yake na kwa ajili ya shamba lake.