Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 7:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Naye akafanya makombe mawili ili kuyaweka juu ya vilele vya zile nguzo, yaliyoyeyushwa katika shaba.+ Kombe moja lilikuwa na urefu wa mikono mitano, na lile kombe lingine lilikuwa na urefu wa mikono mitano.

  • Yeremia 52:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Na lile kombe juu yake lilikuwa la shaba,+ na urefu wa lile kombe moja ulikuwa mikono mitano;+ na zile kamba za nyavu na makomamanga yaliyo juu ya lile kombe, kuzunguka pande zote,+ hivyo vyote vilikuwa vya shaba; na nguzo ya pili ilikuwa vivyo hivyo, pia yale makomamanga.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki