Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 9:34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 34 Basi Abimeleki na watu wote waliokuwa pamoja naye wakaondoka usiku, wakaanza kulivizia jiji la Shekemu wakiwa vikosi vinne.

  • 1 Samweli 13:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Na vikosi vya waporaji vikawa vikifanya mashambulizi kutoka katika kambi ya Wafilisti vikiwa vikosi vitatu.+ Kikosi kimoja kikawa kikigeukia kwenye barabara inayoenda Ofra,+ mpaka nchi ya Shuali,

  • 2 Wafalme 6:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Basi akawaandalia karamu kubwa; nao wakaanza kula na kunywa, kisha akawaacha, wakaenda zao kwa bwana wao. Na vikundi vya waporaji vya Wasiria havikurudi+ tena hata mara moja katika nchi ya Israeli.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki